
African based christian music leader, who is also a talented lyricist, a praise and worship music masters with a different, Obby Alpha dishes out another single titled Nikumbuke.
This wonderful and marvelous is an exceptional one, different from your regular songs. What makes it unique is the consistently use of the wording, which are spiritual and life-transfoming.
Download Nikumbuke Mp3 By Obby Alpha
Nikumbuke video By Obby Alpha
Nikumbuke lyrics By Obby Alpha
Chorus
Ewe Yesu naomba nikumbuke
Mungu wangu naomba nikumbuke
Unapogusa wengine naomba nikumbuke
Unapogusa wengine Baba nikumbuke
Ewe Yesu naomba nikumbuke
Mungu wangu naomba nikumbuke
Unapogusa wengine naomba nikumbuke
Unapogusa wengine Baba nikumbuke
Verse 1
Unitumie kama upendavyo bwana
Lakini haya mbona yamezidi sana bwana
Na sitaki kuamini Ili nibarikiwe lazima niteseke
Na sitaki kuamini ili nipate lazima nikose
Sijamaliza mvua naona Moto naumia
Sijamaliza moto naona Kimbunga naumia
Sijamaliza kimbunga naona Mafuriko naumia
Sijamaliza mafuriko naona Gharika naumia
Bwana naomba sema nao, sema nao huu Moyo wangu
Nisije kukata tamaa unipinye na vidonda vyangu
Hata kwenye familia aah Mimi ndo wa chini sana
Na haya ninayoyapitia aah,Yananiumiza
Ila najua wewe hutizami hayo hutizami
Najua wewe unatazama Moyo moyoni
Bridge
Bwana naomba sema nao, sema nao huu Moyo wangu
Nisije kukata tamaa unipinye na vidonda vyangu
Chorus
Ewe Yesu naomba nikumbuke
Mungu wangu naomba nikumbuke
Unapogusa wengine naomba nikumbuke
Unapogusa wengine Baba nikumbuke
Ewe Yesu naomba nikumbuke
Mungu wangu naomba nikumbuke
Unapogusa wengine naomba nikumbuke
Unapogusa wengine Baba nikumbuke
Verse 2
Wakati wa kupanda mlimani nilijiona ninateseka
Nimefika kileleni nikaona nitapumzika
Jamani bustani ile ile naiona
Yaani mafanikio Yale Yale nayaona
Kiufupi kila nikifanya kazi na nikijiwekeza,
Ndipo matatizo yanazidi kasi yaani yanajitokeza.
Bridge
Bwana naomba sema nao, sema nao huu Moyo wangu
Nisije kukata tamaa unipinye na vidonda vyangu
Hata kwenye familia aah Mimi ndo wa chini sana
Na haya ninayoyapitia aah,Yananiumiza
Ila najua wewe hutizami hayo hutizami
Najua wewe unatazama Moyo moyoni
Chorus
Ewe Yesu naomba nikumbuke
Mungu wangu naomba nikumbuke
Unapogusa wengine naomba nikumbuke
Unapogusa wengine Baba nikumbuke
Ewe Yesu naomba nikumbuke
Mungu wangu naomba nikumbuke
Unapogusa wengine naomba nikumbuke
Unapogusa wengine Baba nikumbuke