Download Martha Mwaipaja – Ni Siku Kuu (Mp3, lyrics, Video)

0


Martha Mwaipaja – Ni Siku Kuu (Mp3, lyrics, Video)
Martha Mwaipaja – Ni Siku Kuu (Mp3, lyrics, Video)

Super Star Minister And African Christian Gospel Song Musician Martha Mwaipaja Releases A Spirit-filled Song Titled “ Ni Siku Kuu ” Mp3 Download, “ Ni Siku Kuu” Song Also comes with the Mp3 Audio With A unique Lyrics And The official Video.

This Song “ Ni Siku Kuu ” is an interesting Project that will surely worth a place in your heart if you are a lover of nice Gospel music.

Download Ni Siku Kuu Mp3 By Martha Mwaipaja

DOWNLOAD MP3

Ni Siku Kuu video By Martha Mwaipaja

Ni Siku Kuu lyrics By Martha Mwaipaja

Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi
Ni siku kuu siku ile
Ya kumkiri Mwokozi!
Moyo umejaa tele
Kunyamaza hauwezi

Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Tumekwisha kupatana
Mimi wake,Yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la Mungu
Tumekwisha kupatana
Mimi wake,Yeye wangu
Na sasa nitamwandama
Nikiri neno la Mungu

Hukesha na kuomba tu
Ameniongoza miguu
Suku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu
Siku kuu! Siku kuu!
Ya kuoshwa dhambi zangu kuu

SHARE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here