HOMESONGSVIDEOS  DEVOTIONALS NEWS



AFRICAN SONGSGOSPEL MUSICLYRICSVIDEOS

Download – Martha Mwaipaja Napendwa Na Mungu (Mp3, Lyrics, Video)



Martha Mwaipaja  Napendwa Na Mungu (Mp3, Lyrics, Video)
Martha Mwaipaja Napendwa Na Mungu (Mp3, Lyrics, Video)

Anointed,Martha Esau Mwaipaja, popularly known as Martha Mwaipaja, is a veteran Tanzanian gospel singer and songwriter, African Christian Gospel Song musician Martha Mwaipaja Presents To Us New Song Titled “ Napendwa Na Mungu ” Mp3 Download, “ Napendwa Na Mungu ” Song comes with the Mp3 Audio With An Interesting Lyrics And The official Video.

This Track “ Napendwa Na Mungu ” is an Amazing Project that will surely worth a place in your heart if you are a lover of Nice Gospel music

Napendwa Na Mungu Mp3 by Martha Mwaipaja

DOWNLOAD MP3

Napendwa Na Mungu video by Martha Mwaipaja

Napendwa Na Mungu lyrics by Martha Mwaipaja

Mmmmh
Ooooh
Heeey….
Mimi napendwa na MUNGU
Mimi napendwa na BABA
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
Maumivo yaliyonitesa
Yameshindwa leo
Taabu zilizonifuata
…Amenishindia..
Napendwa na MUNGU
Kwa upendo wa Agape
…Agape. Aaaah…Oooooh
Mimi napendwa na MUNGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi napendwa na BABA
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi napendwa na MUNGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi napendwa na BABA
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
{Napendwa na BABA mimi}
Instrumentals…………
Daudi alimwambia sauli
Hivi vita ni vyepesi
Kwa kuwa mimi napendwa na MUNGU
Golaithi nitamshinda Tu
Atakuja kwa mkuki na fumo
Mimi nitakwenda na jina la yesu
Ataanguka tu
Golaithi Ataaibika tu
Golaithi Atashindwa tu
Ayeee
Mmmmh…Ayeeee
Oooooh
Mimi napendwa na MUNGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi napendwa na BABA
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi napendwa na MUNGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi napendwa na BABA
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
{Napendwa na BABA mimi}
…………………..
Kuna gharama nimelipiwa
Dhamani kwake MUNGU ni kubwa
Natembea najua napendwa
Na MUNGU
Naishi naelewa ninapendwa Aaaah
Na MUNGU
Ndio maana nimechagua kumtumikia namwimbia kwa sababu najua pendo lake
Napendwa na MUNGU
Napendwa na BABA
Heeey…
Oooooh…
Mimi napendwa na MUNGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi napendwa na BABA
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi napendwa na MUNGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi napendwa na BABA
{Napendwa na BABA mimi}
Mimi nimedhaminiwa na MBINGU
{Napendwa na MUNGU mimi}
Mimi nimekubaliwa na MUNGU
{Napendwa na BABA mimi}
Lyrics by nicegospel.com

Leave a Reply