
Official Music Video for “Mfalme wa Wafalme”, by Adawnage features Millicent Kamau and Moji Shortbabaa “Mfalme wa Wafalme” was written by Millicent Kamau ,Moji Shortbabaa and Irene Mirasi.
It is the second single lifted from our new upcoming 3rd Album recorded on the 18th December 2022.
Download Mfalme wa Wafalme Mp3 By Adawnage Band
Mfalme wa Wafalme video By Adawnage Band
Mfalme wa Wafalme lyrics By Adawnage Band
Tunakupa sifa zote, Bwana wa Mabwana
Uketiye kwenye Enzi, Mfalme wa wafalme
Makerubi, Maserafi, wote wakutazamia
Ulimwengu umejawa, utukufu wako Bwana
Hakuna, Mungu kama wewe
Hakuna, kamwe kama wewe
Hakuna, wa kulinganishwa nawe
Hakuna, Mungu kama wewe
Hakuna, hakuna, kamwe kama wewe
Nani aokoa (ni wewe)
Nani anaponya (ni wewe)
Nani abariki (ni wewe)
Mungu kama wewe
Nani anaweza (ni wewe)
Nani mkombozi (ni wewe)
Nani anaweza (ni wewe)
Mungu kama wewe
Mtetezi wangu (ni wewe)
Bwana wa mabwana (ni wewe)
Bwana wa majeshi (ni wewe)
Mungu kama wewe